KATIKA kuhakikisha Jamii inafanya kweli katika matumizi ya Nishati safi ya kupikia, Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dkt. Dotto Biteko amesema mpango wa Serikali ni kuona Jamii inafanya kweli kwa kuhama kutoka kwenye Nishati isiyokuwa safi ya kupikia na kuhamia kwenye Nishati safi ya kupikia. Dkt.…
Na Mtu Ni Afya MRATIBU wa mashindano ya mpira wa miguu ya Ndondo Cup, Shafii Dauda amewataka wachezaji kutumia mashindano hayo ili kuonyesha vipaji vyao. Dauda alisema hayo wakati wa uzinduzi wa mashindano ya Ndondo Cup 2024 katika uwanja wa Kinesi wilaya ya Ubungo jijini Dar-es-salaam. Dauda alisema…
JAMII imeshauriwa kuweka utaratibu malumu wa kutunza mazingira katika maeneo yao ya nyumbani na kazini. Witu huo umetolewa na Mkuu wa kitengo cha Afya kutoka Jukwaa la Vijana kusini wa Afrika(SADC) Vivian Joseph wakati Kongamano la wadau wa sekta ya Afya kuhusu maandalizi ya Dira ya Taifa ya…
WAFANYABIASHARA wa soko la Bwilingu katika Halmashauri ya wilaya ya Chalinze mkoani Pwani wametakiwa kuzingatia utunzaji na usafi wa Mazingira katika soko hilo. Wito huo umetolewa leo na Mkurugenzi wa Kinga kutoka Wizara ya Afya, Dk Ntuli Kapologwe wakati wa uzinduzi wa soko la Bwilingu. Dk Kapologwe amesema…