MKUU wa Wilaya ya Mkuranga mkoani Pwani, Khadija Nassir amewataka wazazi wotewilayani Mkuranga kufanya kweli kwa kuwa na utaratibu wa kuzungumza watoto wao kuhusuelimu ya Hedhi salama. Nassir ametoa rai hiyo jana wakati wa mkutano katika stendi ya Kimanzichana. ‘’Ni jukumu letu, Wazazi tuongelee Hedhi salama bila uwoga.…