WAFANYABIASHARA wa soko la samaki la Dunda katikaHalmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo wamefanya kweli katika kutumianishati safi ya kupikia. Akizungumza na Mtu Ni Afya jana katika soko hilo,Katibu mkuu wasoko la samaki la Dunda, Haji Sudi amesema wafanyabiashara wa sokolao wameamua kutobaki nyuma katika matumizi ya nishati safi…
MKUU wa Wilaya ya Kibaha mkoani Pwani, Nickson Simon amesema Wilaya yao itaendeleakutenga bajeti ya utunzaji na usafi wa Mazingira. Simon amesema hayo jana wakati wamahojiano malumu. ‘’Sisi kama Wilaya ya Kibaha,tunafanya kweli katika usafi wa Mazingira ambapo kamaHalamshauri huwa tunatenga bajeti ya usafi. Pia tumefanikiwa kutenga bajeti…
MKUU wa Wilaya(DC) ya Kibiti mkoani Pwani, Joseph Kolombo amewataka wakazi wa Wilaya ya Kibiti kufanya kweli kwa kujengavyoo bora pamoja na sehemu ya kunawia mikono na maji tiririka. Kolombo amesema hayo jana ofisi kwake wakati wa mahojianomalumu. ‘’Ujenzi wa vyoo bora ni ajenda yangu namba moja nimeshawaelekezawakazi…