WAKAZI wa mkoa wa Simiyu wametakiwa kuachana na mila potofu katika mapambano ya ugonjwa kipindupindu ambapo kwa sasa ugonjwa huo wa mlipuko umekuwa ukisumbua katika baadhi ya maeneo ya mkoani hapo. Rai hiyo imetolewa jana na Mkuu wa mkoa wa Simiyu, Kenan Kihongosi wakati wa maombi malumu na…
CHUO Kikuu Cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) kampasi ya Muhimbili ipokatika mpango wa kujenga kituo Jumuishi cha Michezo kwa lengo la kuhimiza ufanyaji mazoezikatika jamii. Rai hiyo imetolewa na Makamu Mkuu wa Chuo hicho Profesa ApolinaryKamuhabwa wakati wa kuhitimisha mbio za Reunion Fun Run msimu wa…
SERIKALI kupitia Wizara ya Afya imetoa pongezi kwa Chuo Kikuu Cha Afya na SayansiShirikishi Muhimbili(MUHAS) kwa mpango wa kujenga kituo Jumuishi cha michezo katikakampasi ya Muhimbili, jijini Dar-es-salaam. Pongezi hizo zilitolewa na Mkurugenzi wa Huduma za Kinga kutoka Wizara ya Afya, Dkt NtuliKapologwe wakati wa kufunga mbio za…
Hedhi salama ni suala muhimu sana kwa ustawi wa afya ya wasichana na wanawake. Hata hivyo, katikajamii nyingi za Tanzania, changamoto zinazohusiana na hedhi salama bado zipo. Ni jukumu la kila mzazikumuelimisha mtoto wake kuhusu masuala ya hedhi salama. Kwa upande mwingine, jamii kubwa ya wakina baba imekuwa…
WAFANYABIASHARA wa soko la samaki la Dunda katikaHalmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo wamefanya kweli katika kutumianishati safi ya kupikia. Akizungumza na Mtu Ni Afya jana katika soko hilo,Katibu mkuu wasoko la samaki la Dunda, Haji Sudi amesema wafanyabiashara wa sokolao wameamua kutobaki nyuma katika matumizi ya nishati safi…
MKUU wa Wilaya ya Kibaha mkoani Pwani, Nickson Simon amesema Wilaya yao itaendeleakutenga bajeti ya utunzaji na usafi wa Mazingira. Simon amesema hayo jana wakati wamahojiano malumu. ‘’Sisi kama Wilaya ya Kibaha,tunafanya kweli katika usafi wa Mazingira ambapo kamaHalamshauri huwa tunatenga bajeti ya usafi. Pia tumefanikiwa kutenga bajeti…
MKUU wa Wilaya(DC) ya Kibiti mkoani Pwani, Joseph Kolombo amewataka wakazi wa Wilaya ya Kibiti kufanya kweli kwa kujengavyoo bora pamoja na sehemu ya kunawia mikono na maji tiririka. Kolombo amesema hayo jana ofisi kwake wakati wa mahojianomalumu. ‘’Ujenzi wa vyoo bora ni ajenda yangu namba moja nimeshawaelekezawakazi…
MKUU wa Wilaya ya Mkuranga mkoani Pwani, Khadija Nassir amewataka wazazi wotewilayani Mkuranga kufanya kweli kwa kuwa na utaratibu wa kuzungumza watoto wao kuhusuelimu ya Hedhi salama. Nassir ametoa rai hiyo jana wakati wa mkutano katika stendi ya Kimanzichana. ‘’Ni jukumu letu, Wazazi tuongelee Hedhi salama bila uwoga.…
MKUU wa mkoa wa Iringa Peter Serukamba amewakumbusha wakazi wa mkoa wake kufanyakweli katika ufanyaji wa usafi wa Mazingira. Serukamba ametoa wito huo jana wakati wamahojiano malumu. ‘’Hakika sisi watu wa Iringa, hatubaki nyuma, tunaendelea mbele na tutafanya kweli. Piakufanya usafi ni sehemu ya maisha yetu’’ amesema. Serukamba…
Na Mtu Ni Afya,Njombe Wakazi wa Kata ya Kidengembe waazimia kufanya kweli kwa kuzungumza masuala yahedhi salama na kuvunja ukimya katika ngazi ya kaya kwa kuwashirikisha wanaume namabinti zao. Azimio hilo limewekwa na wakazi wa Kata ya Kidengembe pamoja na Mganga Mkuu waHalmashauri ya Njombe Frank Mganga wakati…