29 Sep

MKUU wa Wilaya ya Mkuranga mkoani Pwani, Khadija Nassir amewataka wazazi wotewilayani Mkuranga kufanya kweli kwa kuwa na utaratibu wa kuzungumza watoto wao kuhusuelimu ya Hedhi salama. Nassir ametoa rai hiyo jana wakati wa mkutano katika stendi ya Kimanzichana. ‘’Ni jukumu letu, Wazazi tuongelee Hedhi salama bila uwoga.…

27 Aug

MKUU wa mkoa wa Iringa Peter Serukamba amewakumbusha wakazi wa mkoa wake kufanyakweli katika ufanyaji wa usafi wa Mazingira. Serukamba ametoa wito huo jana wakati wamahojiano malumu. ‘’Hakika sisi watu wa Iringa, hatubaki nyuma, tunaendelea mbele na tutafanya kweli. Piakufanya usafi ni sehemu ya maisha yetu’’ amesema. Serukamba…

18 Aug

Na Mtu Ni Afya,Njombe Wakazi wa Kata ya Kidengembe waazimia kufanya kweli kwa kuzungumza masuala yahedhi salama na kuvunja ukimya katika ngazi ya kaya kwa kuwashirikisha wanaume namabinti zao. Azimio hilo limewekwa na wakazi wa Kata ya Kidengembe pamoja na Mganga Mkuu waHalmashauri ya Njombe Frank Mganga wakati…

15 Jul

Na Mtu Ni Afya MRATIBU wa mashindano ya mpira wa miguu ya Ndondo Cup, Shafii Dauda amewataka wachezaji kutumia mashindano hayo ili kuonyesha vipaji vyao. Dauda alisema hayo wakati wa uzinduzi wa mashindano ya Ndondo Cup 2024 katika uwanja wa Kinesi wilaya ya Ubungo jijini Dar-es-salaam. Dauda alisema…

10 Jul

JAMII imeshauriwa kuweka utaratibu malumu wa kutunza mazingira katika maeneo yao ya nyumbani na kazini. Witu huo umetolewa na Mkuu wa kitengo cha Afya kutoka Jukwaa la Vijana kusini wa Afrika(SADC) Vivian Joseph wakati Kongamano la wadau wa sekta ya Afya kuhusu maandalizi ya Dira ya Taifa ya…

08 Jul

WAFANYABIASHARA wa soko la Bwilingu katika Halmashauri ya  wilaya ya Chalinze mkoani Pwani wametakiwa kuzingatia utunzaji na usafi wa Mazingira katika soko hilo. Wito huo umetolewa leo na Mkurugenzi wa Kinga kutoka Wizara ya Afya, Dk Ntuli Kapologwe wakati wa uzinduzi wa soko la Bwilingu. Dk Kapologwe amesema…